Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa aina tofauti za utumwa zimeongezeka hasa katika kipindi hiki cha miaka mitano iliopita. Hii ni licha ya juhudi zinazochukuliwa kimataifa kuondoa aina zote za utumwa mambo leo.
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.