JamiiUzazi wa kubebewa mimba umekuwa biashara Nigeria01:32This browser does not support the video element.JamiiYusra Buwayhid11.01.201911 Januari 2019Hata mwanamke akiwa na matatizo yanayomzuia kubeba mimba, bado familia inaweza kupata mtoto kwa kubebewa mimba na mwanamke mwengine. Nchini Nigeria njia hiyo ya kisayansi imeanza kuwa biashara, licha ya kukemewa na viongozi wa kidni.Nakili kiunganishiMatangazo