1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uzazi wa Mpango – Kipindi 3 – Ndoto na majukumu

16 Machi 2011

Mwishoni mwa wiki Desirée akiwa na Lorraine, Eric na mama yao Alice anajifunza zaidi kuhusiana na kifo cha mama yake. Desirée anajaribu kumshawishi bibi yake ili kaka yake Endurance asaidie zaidi kazi za nyumbani.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW