Uzazi wa Mpango – Kipindi 8 – Matokeo ya mabadiliko katika maisha
16 Machi 2011
Katika kipindi hiki, Eric kwa msaada wa Desirée na dada yake Bella anaendelea kuchunguza njia za uzazi wa mpango. Lakini je, bibi yao atavumilia majadiliano hayo nyumbani kwake?