1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

VATICAN: Papa ahimiza umuhimu wa amani na haki za binadamu

2 Januari 2007

Kiongozi wa kanisa Katoliki baba mtakatifu Benedict XVI ameyatolea mwito mataifa duniani yatilie maanani amani ya dunia na yaheshimu haki za binadamu. Katika ujumbe wake wa mwaka mpya kiongozi huyo aliwatakia maelfu ya waumini waliokusanyika katika uwanja wa Mtakatifu Petro amani na afya katika mwaka huu mpya wa 2007.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW