1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viboko wasumbua wananchi wanaoishi kando ya mto Ruzizi

02:06

This browser does not support the video element.

5 Mei 2022

Kijiji cha Katogota chenye takribani wakaazi 14,000 kiko kando ya Mto Ruzizi unaozitenga Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, binadamu na viboko wanajifunza kuishi pamoja, lakini hali hiyo ni ngumu sana. #kurunzi