1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

VIENNA: Chama cha Austria chapata kiongozi mpya

22 Aprili 2007

Chama cha kihafidhina cha People’s Party nchini Austria kimemchagua bwana Wilhelm Molterer kuwa kiongozi wa chama hicho. Bwana Molterer anachukua nafasi ya Wolfgang Schuessel aliekuwa mwenyekiti wa chama hicho ambae pia aliwahi kuwa kansela wa Austria.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW