1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na majina ya "a.k.a"

6 Julai 2011

Ni jambo la kawaida kwa vijana wa Kiafrika, hasa wasanii na wale wanaowahusudu wasanii, kusikia wakiitana kwa majina ya "a.k.a" (as known as) au "maarufu kama", utamaduni ambao, hata hivyo, si mpya katika jamii hizo.

Muimbaji Sean Combs, ambaye anaye anajuilikana kwa umaarufu wa P. Diddy
Muimbaji Sean Combs, ambaye anaye anajuilikana kwa umaarufu wa P. DiddyPicha: AP

Bruce Amani anazungumza na vijana wenyewe kujuwa kipi kinachowapa ladha ya kujiita majina ya yanayofahamika kama "a.k.a." au "almaafuru kama fulani", tabia ambayo inapendwa sana na hasa wasanii wa kisasa.

Mtayarishaji: Bruce Amani

Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW