SiasaVijana na simu za mkononi00:49This browser does not support the video element.SiasaJacob Safari07.08.20187 Agosti 2018Kivutio kikubwa cha vijana katika simu za mkononi ni michezo tofauti iliyomo. Hapa ni mjini Paris Ufaransa katika bustani ya umma ya Luxembourg ambayo inajulikana sana kwa vijana kukongamana ili kucheza tu mchezo maarufu wa Pokemon Go. Nakili kiunganishiMatangazo