Vijana wa Uganda ambao ni wapiga kura wa mara ya kwanza huenda wasishiriki uchaguzi mkuu kwani tume ya uchaguzi inadai haina muda wa kuwaandikisha. Tanzania vijana wanaandikishwa kwa ajili ya uchaguzi 2020.
Matangazo
FE: Vijana Mubashara 05/06.03 Youth participation in political process - MP3-Stereo