1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Kitanzania watua Ujerumani

14 Juni 2011

Mpango wa kusoma kwa njia ya kubadilishana wanafunzi na ujuzi (Student Excange Programme) unatajwa kuwa na manufaa makubwa ya kitaaluma kwa wanafunzi, kama ambavyo Asumpta Ngonyani aligundua kwa wanafunzi wa Kitanzania.

Wanafunzi wakiwa darasani nchini Tanzania
Wanafunzi wakiwa darasani nchini TanzaniaPicha: Deutsche Stiftung Weltbevölkerung (DSW)

Kusoma kuna njia nyingi na moja ya njia hizo ni kutembea na kujifunza mambo kwa njia ya mbadilishano. Ndivyo ziara ya kimasomo ya wanafunzi wa vyuo vya mafunzo ya ujasiriamali vya Tanzania (VETA) inavyothibitisha.

Mtayarishaji/Msimulizi: Asumpta Ngonyani
Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW