1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wahamiaji wa timu ya Matumaini katika mpira wa vikapu

04:33

This browser does not support the video element.

10 Agosti 2022

Katika kisiwa kidogo cha bahari Mediterrania-Cyprus, hali ya wahamiaji wengi Waafrika ni mbaya hata baada ya kupewa hifadhi wakaazi wa zamani wa kambi kama vile Pournara wana wakati mgumu kutangamana katika jamii kutokana na kisiwa hicho kutokuwa na nia ya kisiasa. Lakini Joshua Kambala na marafiki zake wanatumia masaibu yao kwa njia chanya: Kwenye uwanja wa mpira wa vikapu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW