1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wanatuma ibada ya funga kujitafakari

03:06

This browser does not support the video element.

Hawa Bihoga
12 Machi 2024

Hiki ni kipindi cha mfungo kwa waumini wa Kiislamu wapo katika mwezi wa Ramadhani na Wakristo wanaendelea na ibada ya Kwaresma. Katika nyakati hizi vijana wanatumia kujitafakari kiroho, kijamii na hata mahusiano yao na Mwenyezi mungu. Baadhi wanasema ni muhimu kuwa waaminifu, huku viongozi wa dini wakisisitiza vijana kudumu kwenye matendo mema.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW