Ikisalia saa chache wakristo kote ulimwenguni kusherehekea sikukuu ya Pasaka,vijana nao wanayo namna yao ya kusherehekea huku wakitoa nasaha ya kusherehekea bila kuleta madhara kwenye jamii.
Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia ujasiri wa msichana na mchango mkubwa anaoufanya katika jamii. Msichana Jasiri ni muwazi, ana upendo na yuko tayari kujitoa kuwahudumia wengine. Ni shujaa!