Vijana wapata mwamko wa kufanya mazoezi04.12.20154 Desemba 2015Mazoezi ya mwili yamepata mashabiki wengi. Vijana wanayapenda kwa ajili ya kupunguza uzito au kuongeza misuli. Vijana Mchaka Mchaka imewauliza watu mbali mbali kinachowasukuma kufanya mazoezi ya mwili.Nakili kiunganishiPicha: Reuters/A. AwadMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.