1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Waambukizwa UKimwi zaidi nchini Tanzania

02:13

This browser does not support the video element.

Amina Mjahid
1 Desemba 2020

Nchini Tanzania maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani yanayofanyika kila tarehe mosi Desemba, yamefanyika mkoani Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania, yakiwa yanawakumbuka wahanga wa Ukimwi, ikiwa ni pamoja na watoto yatima. Vijana wengi pia walichukua nafasi hiyo kujua hali zao.