AfyaAfrikaVikongwe Uganda wakataa kuzeeka03:47This browser does not support the video element.AfyaAfrikaHawa Bihoga28.07.202528 Julai 2025Shirika la Kijamii la Royal Foundation nchini Uganda limeanzisha mpango wa mazoezi ya kijamii kwa wanawake wazee kwa lengo la kuimarisha afya zao na kujikinga na magonjwa ya uzeeni na kuwafanya kuwa na afya bora. Nakili kiunganishiMatangazo