1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vipimo vya vinasaba vyaoana na mafuvu yaliyopo Ujerumani

03:59

This browser does not support the video element.

29 Septemba 2023

Vipimo vya sampuli za vinasaba vilivyochukuliwa mwaka 2018 vinaonesha kwamba mzee Zablon Ndesamburo ni ndugu wa damu wa Sindato Kiwelu, aliyekuwa mshauri wa Chifu Mangi Meli, kiongozi wa Wachaga wa Kilimanjaro, ambaye alinyongwa na wanajeshi wa Kijerumani, na ambaye fuvu lake lipo nchini Ujerumani. Zablon pamoja na ukoo wake wanataka fuvu la ndugu yao lirudishwe na walipwe fidia.

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW