SiasaViongozi wa Korea wakutana ana kwa ana 00:53This browser does not support the video element.SiasaIddi Ssessanga27.04.201827 Aprili 2018Korea Kusini na Kaskazini zimeahidi kumaliza vita na kutafuta amani ya kudumu. Ni baada ya mkutano wa kihistoria wa kilele kati ya viongozi wakuu wa mataifa hayo yaliotenganishwa na vita vya Korea vya mwaka 1950-53. Papo kwa papo 27.04.2018Nakili kiunganishiMatangazo