Viongozi wajaribu kutuliza hali DRCElizabeth Shoo10.02.201610 Februari 2016Gavana wa mkoa wa Kivu ya Kaskazini, Julien Paluku, ametembelea eneo la kusini mwa wilaya ya Lubero kumaliza mzozo baina ya makabila ya Nande na Hutu uliosababisha vifo vya watu kadhaa.Nakili kiunganishiPicha: Getty Images/AFP/K. MaliroMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.