1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi watatu,kansela Schröder,rais Chirac na mwenyeji wao rais Putin wanashiriki katika sherehe za miaka 750 ya Kaliningrad

3 Julai 2005

Kansela Gerhard Schröder amekua na mazungumzo pamoja na marais wa Rashia na Ufaransa mabwana Vladimir Putin na Jacques Chirak katika mji wa mwambao wa Rashia SWETLOGORSK.Hii ni Mara ya nne kwa mkutano kama huu wa kilele wa pande tatu kufanyika tangu mwaka 2003.Viongozi hao watatu wanazungumzia mkutano wa kilele wa viongozi wa G8 nchini Scottland na mradi wa kinuklea wa Iran.Mwishoni mwa mazungumzo yao ,rais Vladimir Puztin amesema anaunga m,kono madai ya Ujerumani kua na kiti cha akudumu katika baraza la ausalama.viongozi hao watatu wanakwenda Kaliningrad hivi sasa kuhudhuria sherehe za miaka 750 ya mji huo.Hapo awali rais Vladimir Putin alisisitiza dhamiri ya nchi yake kuendeleza ushirikiano wa dhati pamoja na umoja wa ulaya.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW