Maelfu ya wafuasi wa kiongozi wa upinzani DRC ambaye pia ni mkuu wa chama cha UDPS, Felix Tshisekedi, walijitokeza kumkaribisha kiongozi huyo aliyerejea mjini Kinshasa pamoja na Vital Kamerhe kuanza kampeni yao ya urais katika uchaguzi wa mwezi ujao Desemba 23.