AfyaAfrikaVirusi vya Marburg ni hatari kiasi gani?00:50This browser does not support the video element.AfyaAfrikaHawa Bihoga20.01.202520 Januari 2025Tanzania imethibitisha kisa cha kwanza cha ugonjwa wa Marburg Kaskazini Magharibi mwa taifa hilo la Afrika Mashariki. Mlipuko wa sasa unakadiriwa kuwa na hatari kubwa ya kuenea Tanzania na nchi jirani. Je virusi hivi ni hatari kiasi gani?Nakili kiunganishiMatangazo