1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vita dhidi ya ufisadi michezoni Kenya

04:12

This browser does not support the video element.

4 Machi 2022

Ufisadi katika michezo si suala geni nchini Kenya. Mashtaka ya ufisadi yamewakumba wengi akiwemo waziri wa zamani wa michezo na hata waliokuwa maafisa wa kamati ya michezo ya Olimpiki nchini humo. Mtangazaji wa DW Edith Kimani alichunguza jinsi ufisadi umekuwa tatizo kubwa. Ripoti hiyo inasimuliwa na John Juma kwenye #VijanaMubashara #77Asilimia.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW