1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vurugu zaendelea Sudan Kusini

4 Juni 2020

Hali bado tete baada ya maandamano yaliyosababisha vifo vya watu wapatao watano, huku yule ndugu wa karibu wa Rais Salva Kiir aliyetajwa kuwa chanzo cha mgogoro huo, akielezwa kujeruhiwa vibaya na wananchi na kufariki.

Rais wa Sudan Kusini Salvaa Kiir (kushoto)
Picha: AFP/P. Louis

J3.04.05.2020-S. Sudan: Clashes in Juba/ Salva Kiir's relative killed - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.