Vyombo vya habari Tanzania na maadili
20 Agosti 2013Matangazo
Mohammed Khelef anaongoza Maoni Mbele ya Meza ya Duara kujadili mada ya waandishi wa habari na maadili nchini Tanzania. Mjadala unahudhuriwa na Yahya Mohamme, mwandishi wa habari wa siku nyingi nchini Tanzania, Paul Malimbo wa wa Baraza la Habari la Tanzania na Steven Ouma Bwire, Katibu Mkuu wa Umoja wa Waandishi wa Habari wa Uganda.
Kusikiliza kipindi hiki, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Makala: Mohammed Khelef
Mhariro: Josephat Charo