1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Vyombo vya habari vyatakiwa kudumisha amani Kenya

18 Julai 2017

Wakati Kenya ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa Agosti 8, vyombo vya habari vina dhima kubwa ya kutumia nafasi yake kukuza demokrasia na amani katika mchakato wa kuelekea kwenye uchaguzi huo.

Bango la uchaguzi Kenya
Picha: Reuters/M. Eshiwani

KENYA UCHAGUZI Jukumu la vyombo vya habari - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW