Vyombo vya habari vyaonywa Kenya
20 Februari 2013Matangazo
Katika uchaguzi wa 2007 ghasia za baada ya uchaguzi huo zilizoaminika pia kuchochewa na vyombo vya habari zilisababisha vifo vya watu 1,200 kuuwawa huku wengine 60,000 wakiachwa bila makao. Amina Abubakar anazungumza na Joseph Omondi amabe ni mratibu katika Shirika la Kijamii la "Bunge la Mwananchi" nchini Kenya. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya kitufe cha kusikiliza masikioni hapo chini.
Mwandishi Amina Abubakar
Mhariri Josephat Charo