1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vyombo vya Mawasiliano na Habari –Kipindi 5 –Siku zote ni juu ya pesa

11 Novemba 2010

Rafiki zetu vijana wamegundua kuwa kuanzisha kituo cha radio ya jamii kunahitaji zaidi ya shahuku.Vifaa vya kituo cha radio ni ghali sana na zaidi ya hayo hawana mafunzo yoyote ya uandishi wa habari.Je watakata tamaa?.

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi
Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW