1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waafrika watembelea maonyesho ya viwanda Hannover

Elizabeth Shoo27 Aprili 2016

Wajumbe takribani 150 kutoka Afrika wamezuru maonyesho ya viwanda mjini Hannover, Ujerumani, wakitazama teknolojia mpya kama maroboti na mawasiliano ya mashine viwandani. Sudi Mnette amehudhuria.

Wajumbe wa Afrika katika maonyesho ya biashara Hannover
Picha: DW/S. Mnette

[No title]

This browser does not support the audio element.