Waasi wageuka wakimbizi mashariki mwa DRC
19 Desemba 2013Matangazo
Wapiganaji wengi toka makundi ya waasi na wanamgambo wamekuwa wakisalimisha silaha zao na kukusanywa kwenyi kambi ya mpito katika kijiji cha Bweremana nje na mji wa Goma. Inaelezwa kuwa karibu wapiganaji 3,000 walioripoti kwa serikali na sasa wanajihifadhi katika kambi hiyo kama inavyosimulia ripoti ya Jonh Kanyunyu kutoka Goma.
Kusikiliza taarifa hiyo tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.