Baadhi ya walioathiriwa na mafuriko nchini Burundi yapata miezi michache iliyopita bado hawajapata suluhisho muafaka. Bado wanatumia mitumbwi ili kufika au kuondoka katika majumba yao huku wengine wakisalia kwenye mahema. Wasiwasi wao mkubwa ni kwamba msimu wa mvua unakaribia tena wakiwa katika hali hiyo. Amida Issa anasimulia zaidi kwenye #Kurunzi.