Wabunge wanawake wa Tanzania wataka kujijengea imani
28 Mei 2007Matangazo
Akizungumza na wabunge hao wanaokutana mjini Bagamoyo, waziri mkuu staafu na mwanasiasa anayeheshimiwa nchini Tanzania, Jaji Joseph Warioba, alisema kutanguliza maslahi ya wananchi itawajengea umaarufu wabunge wanawake.
Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu Christopher Buke ambaye amehudhuria mkutano huo.