Wabunge wa chama cha Economic Freedom Fighters EFFwalitolewa kwa nguvu bungeni siku ya Alhamisi baada ya kuvuruga hotuba ya Rais Jacom Zuma na kumtaka aondoke wakimtuhumu kwa rushwa. Rais Donald Trump apata pigo baada ya marufuku yake dhidi ya wahamiaji kutoka mataifa 7 ya Waislamu wengi kukataliwa na mahakama ya rufaa. Na Tamasha la 14 la Sauti za Busara lafanyika visiwani Zanzibar.