1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wabunge wasusia vikao vya bunge huko Kinshasa,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

30 Mei 2007

Wabunge wa Kivu wamegomea vikao vya bunge hadi serikali itakapohakikisha usalama wa wananchi wa maeneo wanayowakilisha.

Hii inakuja siku moja baada ya wabunge hao kususia mkutano ulioitishwa na waziri wa ndani kuhusu kutafuta suluhu ya kudumu kwa ajili ya amani huko Kivu. Hivi majuzi raia wasiopungua kumi na saba waliuwawa na wanamgambo wa FDLR kijijini Kaniola jimboni Kivu Kusini.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti zaidi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW