Kitu pekee kinachowazuia watumiaji wa Mpesa, ni viwango vya riba ya mikopo. Miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa huduma ya Mshwari, idadi ya watumiaji imeongezeka kutoka 0 hadi milioni 10.
Matangazo
Kati ya Wakenya milioni 38, milioni 15 hutumia Mpesa, na katika miaka mitatu iliyopita, thuluthi mbili ya watumiaji wa Mpesa wamekuwa watumiaji wa Mshwari.