Wafanyakazi wa tume ya umoja wa mataifa wameanzisha mgomo nchini Kongo
23 Agosti 2007![Si tu wanajeshi wanaofanya kazi kwa Umoja wa Mataifa DRC](https://static.dw.com/image/1222473_800.webp)
Matangazo
Kwa wakati huohuo MONUC imesema kwamba wanajeshi 57 wa jeshi jipya
la DRC wametoroka jeshini,jimboni kivu ya kaskazini.
Ripoti kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo kutoka Kinshasa.