1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wagombea ugavana wapinga kuahirishwa kwa uchaguzi Mombasa

03:13

This browser does not support the video element.

18 Agosti 2022

Hatua ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya IEBC ya kuahirisha uchaguzi wa ugavana kwa muda usiojulikana mjini Mombasa imeibua hisia mseto kutoka kwa baadhi ya wagombea huku wakikosoa vikali uamuzi huo na kusema uchaguzi huo ulisitishwa kinyume cha sheria na kinyume cha katiba. #Kurunzi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW