SiasaWagombea wenza wa Marekani walumbana01:54This browser does not support the video element.Siasa05.10.20165 Oktoba 2016Wagombea wenza nchini Marekani walumbana katika mdahalo wao wa kwanza. Kimbunga Matthew chaikumba Haiti na kusababisha vifo vitano. Na, Treni mpya zaanza safari ya masaa 10, kutoka Ethiopia hadi Djibouti leo hii. Papo kwa Papo 05.10.2016Nakili kiunganishiMatangazo