1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahamiaji 4 wamefariki, 29 wapotelea baharini nchini Uhispania

01:09

This browser does not support the video element.

3 Oktoba 2022

Licha ya hali ngumu, wahamiaji wengi hujaribu kuingia barani Ulaya kupitia Visiwa vya Canary vya Uhispania huku wakitumia mashua zisizo salama. Tangu mwanzoni mwa mwaka, takriban watu 800 wamepoteza maisha katika jaribio kama hilo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW