1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahamiaji wa Burundi walioko Tanzania waanza kurejea nyumbani

01:52

This browser does not support the video element.

4 Oktoba 2019

Wahamiaji wapatao 600 wa Burundi waliokuwa Tanzania wamerudishwa nchini mwao. Hii ni kufuatia msimamo wa Tanzania kuwarudisha wahamiaji kwa hiari kwa msingi kuwa kuna amani kwa sasa nchini Burundi. Kuna takriban wahamiaji 225,000 wa Burundi nchini Tanzania.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW