Wakazi wa kaskazini mwa Uganda waliokusanyika katika kumbi mbalimbali wameshuhudia mahakama ya kimataifa ya ICC ikimsomea Dominic Ongwen kupatikana na hatia za uhalifu wa kivita na pia dhidi binadamu. Wanazungumzia pia masaibu waliyopitia na matarajio yao.