1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wahudumu wa kike kwenye mabaa Wanadai Heshima na Utu

02:45

This browser does not support the video element.

27 Oktoba 2023

Huko Goma,mji mkuu wa jimbo la Kivu ya Kaskazini wahudumu wanawake katika baa na kumbi za starehe wanakabiliwa na changamoto za kipekee, zinazoangaziwa na unyanyapaa wa kijamii na unyanyasaji wa kijinsia. Ripoti hii inawapa sauti wale wanaofanya kazi nyuma ya pazia, ili kuongeza ufahamu wa umma juu ya haja ya kuheshimu taaluma zote.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW