JamiiWaislam wa Tanzania washerehekea Eid-el-Adha02:14This browser does not support the video element.Jamii21.07.202121 Julai 2021Waislamu nchini Tanzania wanasherehekea sikuukuu ya Eid Al Adha ambayo itaendelea kwa siku tatu. Sala ya Iddi leo imefuatiwa na kuchinja wanyama, ambapo nyama baadae hutolewa kwa jamii marafiki na wasiojiweza.Nakili kiunganishiMatangazo