1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakaazi Kivu washinikiza kuondolewa MONUSCO DRC

02:15

This browser does not support the video element.

22 Julai 2022

Wakaazi huko Kivu waandamana nje ya MONUSCO wakiitaka ifungashe virago kwa kile walichokiita kushindwa kupambana na kundi la M23, ambalo katika siku za hivi karibuni limekuwa likifanya mashambulizi na kusababisha mamia ya raia kuyakimbia makazi yao na wengine kadhaa kuuwawa.