SiasaWakaazi wa Masaki Dar es Salaam wataka usalama uimarishwe01:59This browser does not support the video element.Siasa21.06.201921 Juni 2019Baadhi ya wakaazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kutaka usalama uimarishwe katika eneo hilo, na tahadhari iliyotolewa na ubalozi wa Marekani kuhusu kitisho cha shambulizi la kigaidi, ichukuliwe kwa uzito unaostahiki.Nakili kiunganishiMatangazo