AfyaAfrikaWakati gani wa kutumia antibiotiki na wakati gani hupaswi?00:51This browser does not support the video element.AfyaAfrikaSudi Mnette20.11.202320 Novemba 2023Dawa za Antibiotiki zinaweza kutibu tu maambukizi yanayosababishwa na bakteria, wakati mwingine fangasi na vimelea. Kuna mambo muhimu aya kufanya kabla ya kutumia Antibiotiki. Zaidi tazama vidio hii. Nakili kiunganishiMatangazo