JamiiKenyaWakazi wa Baringo, Kenya waanza kurejea makwao03:14This browser does not support the video element.JamiiKenyaSudi Mnette23.11.202223 Novemba 2022Wakazi wa Kaunti ya Baringo ambayo imekabiliwa na tatizo la amani kutokana na wimbi la wezi wa mifugio wameanza kurejewa katika maeneo yao. Michael Kwena na ripoti hiii. #KurunziNakili kiunganishiMatangazo