1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakazi wa Kisumu wazungumzia uamuzi wa mahakama ya Kenya

02:15

This browser does not support the video element.

5 Septemba 2022

Wakazi wa jimbo la Kisumu, ambalo ni mojawapo ya ngome kuu ya kinara wa kisiasa nchini Kenya Raila Odinga wamezungumzia uamuzi wa mahakama wa kutupilia mbali shauri la Odinga na kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa urais. Wasikilize.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW