JamiiWakazi waamua kupambana wenyewe na COVID-1902:39This browser does not support the video element.Jamii26.08.202026 Agosti 2020Kutokana na ongezeko la idadi ya maambukizi na vifo vinavyotokana na COVID-19 wananchi nchini Uganda wameamua kuchukua hatua wenyewe kudhibiti ugonjwa huo kwa kuwalazimisha wengine kufuata kanuni zilizowekwa. Video na Emmanuel Lubega. KurunziNakili kiunganishiMatangazo